Kuhusu Sisi

Arusha Teachers SACCOSS LTD.

Chama cha Arusha Teachers SACCOSS LTD kilianzishwa tarehe 23 mwezi Julai Mwaka 1997 na kupewa namba ya usajili AR329. Kikiwa na Wanachama 50 Wanawake 38 na Wanaume 12. kilianzishwa kwa lengo kuu lilikua Kumkomboa Mwalimu wa Jiji la Arusha Kuanzia Shule za Awali, Shule za Msingi, Shule za Sekondari na Vyuo kuweza kujiwekezea akiba na kupata Mikopo yenye Riba nafuu ili kujiinua na kujikomboa Kijamii na Kiuchumi.

Piga Simu

Uongozi

Viongozi Wetu

Mwendaeli Kisaka
Mwenyekiti
Edna Laiser
Meneja